Showing posts with label Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson. Show all posts
Showing posts with label Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson. Show all posts

Tuesday, July 12, 2016

NAIBU SPIKA ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ugeni kutoka Baraza la Wakilishi Zanzibar walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Ugeni huo uliongozwa na Spika wa Baraza la Wakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid.