Showing posts with label Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani humo Paul Kirua. Show all posts
Showing posts with label Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani humo Paul Kirua. Show all posts

Thursday, October 13, 2016

WAZEE WASTAAFU WANAWEZA KUWA MABILIONEA NA KUIBADILISHA NCHI

 Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lushoto ambaye ni Afisa Tarafa ya Lushoto,Asha Kikoti akifungua mkutano wa uzinduzi wa chama cha wazee wastaafu wilayani Lushoto kushoto ni MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani humo Paul Kirua.