Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lushoto
ambaye ni Afisa Tarafa ya Lushoto,Asha Kikoti akifungua mkutano wa
uzinduzi wa chama cha wazee wastaafu wilayani Lushoto kushoto ni
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF
hapa nchini, Adam Mayingu kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee
wilayani humo Paul Kirua.