Showing posts with label Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Show all posts
Showing posts with label Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Show all posts

Tuesday, May 03, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU TAIFA YA CCM MKOANI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.