Showing posts with label Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Show all posts
Showing posts with label Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Show all posts

Saturday, June 11, 2016

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO WAIPELEKA SERIKALI MAHAKAMANI

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana alifungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kupinga amri ya polisi kuzuia mikutano ya vyama vya siasa nchini.