Showing posts with label Msimamizi Mkuu wa Daraja la Nyerere Bw. Gerald Sondo. Show all posts
Showing posts with label Msimamizi Mkuu wa Daraja la Nyerere Bw. Gerald Sondo. Show all posts

Friday, May 27, 2016

WAZIRI PROFESA MAKAME ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE NA KITUO CHA KUPIMIA MAFUTA YAINGIAYO NCHINI KUONA MAENDELEO

Waziri wa UjenziUchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wawakilishi wa kampuni ya Mabey Bridge kutoka Marekani(hawapo pichani) na wadau wengine wa Ujenzi leo kuhusu mpango wa kujenga fly overs takribani tatu katika jiji la Dar es salaamu kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika jiji.