Showing posts with label Mohamed Chande Othman. Show all posts
Showing posts with label Mohamed Chande Othman. Show all posts
Wednesday, September 21, 2016
Friday, April 22, 2016
JAJI MKUU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MBEYA, AWATAKA WATUMISHI WA MAHAKAMA MKOANI HUMO KUFANYA KAZI YA UTOAJI HAKI KWA UADILIFU.
JAJIMkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli za Mahakama katika Kanda ya Mbeya.
Ziara ya Mhe. Jaji Mkuu katika kanda hii imelenga kujionea hali ya utendaji kazi wa Mahakama katika mkoa huo ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha Watumishi wa Mahakama kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili kuboresha huduma ya utoaji haki nchini.
Katika ziara yake Mhe. Jaji Mkuu aliambatana na Maafisa na Watendaji kadhaa wa Mahakama kutoka Makao makuu ili kujionea hali ya utendaji kazi ikiwa ni pamoja na kubainisha na kufanyia kazi changamoto ambazo watumishi wanakumbana nazo katika utendaji kazi wa kila siku.
Subscribe to:
Posts (Atom)
