Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Show all posts

Tuesday, February 07, 2017

WAZIRI LUKUVI AWATAKA VIONGOZI WA MIKOA YA TANGA NA MANYARA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi akizungumza  kwenye kikao cha pamoja baina yake na viongozi wa mikoa ya Tanga na Manyara kuhusiana na mgogoro wa mipaka uliopo kati ya wilaya za kilindi na kiteto ili kuona namna ya kuumaliza