Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi akizungumza kwenye kikao cha pamoja baina yake na viongozi wa mikoa ya Tanga na Manyara kuhusiana na mgogoro wa mipaka uliopo kati ya wilaya za kilindi na kiteto ili kuona namna ya kuumaliza