Showing posts with label Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule. Show all posts

Friday, August 05, 2016

IDARA YA UHAMIAJI INAWASHIKILIA WATUMISHI WAWILI WA SERIKALI AMBAO SI RAI WA TANZANIA.

Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa taarifa ya kukamatwa kwa watumishi wawili wa Serikali ambao sio raia wa Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam.