Mbunge wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma 21 Mei, 2016 kwa ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi bungeni hapo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi akisoma Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 leo Bungeni mjini Dodoma 21 Mei, 2016.