Showing posts with label Mbunge wa CHADEMA. Show all posts
Showing posts with label Mbunge wa CHADEMA. Show all posts

Saturday, May 21, 2016

MATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA, JUMAMOSI 21 MEI, 2016

Mbunge wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma 21 Mei, 2016 kwa ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi bungeni hapo.
bu2Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi akisoma Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 leo Bungeni mjini Dodoma 21 Mei, 2016.