Showing posts with label Mhandisi Christian Gava. Show all posts
Showing posts with label Mhandisi Christian Gava. Show all posts

Thursday, April 07, 2016

TATIZO LA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM LINAKARIBIA KUPATA MWAROBAINI WAKE BAADA YA MIUNDOMBINU INAYOLETA MAJI KATIKA JIJI HILO KUENDELEA KUJENGWA:

 Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Neli Msuya.
Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo.