Showing posts with label Mererani na Orkesumet. Show all posts
Showing posts with label Mererani na Orkesumet. Show all posts

Friday, February 17, 2017

JAMES OLE MILLYA AKUTANA NA WAZIRI MKUU NA KUTOA PONGEZI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

index

wa Simanjiro, Mheshimiwa James Ole Millya ametoa pongezi kwa viongozi wa serikali ya awamu ya tano kwa jinsi wanavyojali na kuwahudumia wananchi.
Ametoa pongezi hizo jana (Alhamisi, Februari 16, 2017) kwenye mikutano miwili ya hadhara iliyofanyika Orkesumet na Mererani wilayani Simanjiro, Manyara, baada ya kupewa nafasi asalimie wananchi kabla Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hajazungumza na wakazi wa maeneo hayo.