Showing posts with label Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Show all posts
Showing posts with label Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Show all posts

Wednesday, January 25, 2017

TUTAWASAKA NA KUWASHUGHULIKIA WALIOHUSIKA NA UPOTEVU WA MALI ZA KIWANDA CHA LUPEMBE-MAJALIWA

JUKO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inawasaka watu wote waliohusika na upotevu wa mali za kiwanda cha chai cha Lupembe na kuwachukulia hatua.
Hata hivyo amesema Serikali haitoipa nafasi migogoro yote ya uwekezaji inayopelekea wananchi kutopata ajira bali itatatuliwa bila ya kusimamisha uzalishali.

Tuesday, April 26, 2016

MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG AKABIDHI RIPOTI:

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad akionesha ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mjini Dodoma ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017.