Showing posts with label Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China Luo Zhijun. Show all posts
Showing posts with label Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China Luo Zhijun. Show all posts

Saturday, June 04, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA LUO ZHIJUN IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi  wa Chama cha Kikomunisti cha China Luo Zhijun  kutoka jimbo la Jiangsu nchini China, ikulu jijini Dar es Salaam.