Showing posts with label Hakimu Mkazi Mkuu. Show all posts
Showing posts with label Hakimu Mkazi Mkuu. Show all posts

Thursday, November 03, 2016

Image result for picha ya tundu lissu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa Singinda Mashariki kupitia Chadema,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na Wahariri wa gazeti la Mawio.
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba alifikia hatua hiyo  baada ya Lissu kutoonekana mahakamani na mdhamini wake Robert Katula kueleza amekwenda kusikiliza kesi Mwanza.