Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma