Showing posts with label Dk. Ally Simba. Show all posts
Showing posts with label Dk. Ally Simba. Show all posts

Saturday, April 16, 2016

WAZIRI WA UJENZI ATEMBELEA OFISI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) NA KUTOA MWONGOZO WA UTENDAJI KAZI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) (hawapo pichani), kuhusu mkakati mpya wa Mamlaka hiyo wa kufanya kazi kwa ubunifu na uadilifu ili kuongeza mapato.
4Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao kuhusu mkakati mpya wa Mamlaka hiyo wa kufanya kazi kwa ubunifu na uadilifu ili kuongeza mapato.