Showing posts with label Baba wa Taifa. Show all posts
Showing posts with label Baba wa Taifa. Show all posts

Tuesday, July 26, 2016

WAZIRI MKUU ASEMA NITAHAMIA DODOMA SEPTEMBA MWAKA HUU:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma mapema leo asubuhi  waliojitokeza kushuhudia maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa, mjini Dodoma.PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA