Showing posts with label Afisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Faidika Bw. Mbuso Blamini. Show all posts
Showing posts with label Afisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Faidika Bw. Mbuso Blamini. Show all posts

Friday, December 16, 2016

FAIDIKA YAZINDUA AINA MPYA YA MKOPO KUKUZA HUDUMA ZA KIBENKI NCHINI.






Afisa Mtendaji Mkuu wa Faidika, Mheshimiwa Mbuso Dlamini (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa chombo kipya cha mpango wa mkopo iitwayo 'Executive Loan' ambayo iliyoundwa kwa lengo la kurahisisha huduma za  kifedha na kulia ni Meneja Mauzo wa taasisi Nchini, Elisha Tengeni.



Afisa Mtendaji Mkuu wa Faidika, Mheshimiwa Mbuso Dlamini (kulia) akizindua mpango mpya wa mkopo iitwayo 'Executive Loan'