Showing posts with label wilaya Muheza mkoani Tanga. Show all posts
Showing posts with label wilaya Muheza mkoani Tanga. Show all posts

Thursday, June 09, 2016

RAIS MAGUFULI AFUTA HATI YA MASHAMBA YA MKONGE YALIYOTELEKEZWA MKOANI TANGA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza muda mfupi baada ya kuwasili wilayani humo akitokea Lushoto, Tanga kabla ya kuelekea Kijiji cha Kibaranga kufuta hati ya Shamba lililokuwa limetelekezwa na mwekezaji.