Showing posts with label mwanafuzi wa darasa la awali shule ya SUN Academy. Show all posts
Showing posts with label mwanafuzi wa darasa la awali shule ya SUN Academy. Show all posts

Wednesday, March 15, 2017

WIZARA YAKEMEA UBAKAJI WA MTOTO MKOANI IRINGA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakemea vikali tukio la kubakwa kwa binti wa miaka saba (jina limehifadhiwa) mkazi wa kata ay Kitanzini, mwanafuzi wa darasa la awali shule ya SUN Academy iliyoko kata ya Kwakilosa, manispaa ya Iringa.