Showing posts with label mkoani Kagera. Show all posts
Showing posts with label mkoani Kagera. Show all posts

Tuesday, March 15, 2016

SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI UAGIZAJI WA SUKARI KULINDA SOKO LA NDANI-WAZIRI MKUU:

Ametoa kauli hiyo Jumatatu, Machi 14, 2016 wakati akizungumza na uongozi wa kiwanda cha sukari cha Kagera pamoja na uongozi wa mkoa wa Kagera alipotembelea kiwanda hicho ambapo alisema wamezuia sukari kutoka nje ili kuhakikisha sukari inaisha katika maghala yao.