Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Showing posts with label matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Show all posts
Showing posts with label matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Show all posts
Monday, March 21, 2016
MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Subscribe to:
Posts (Atom)