Showing posts with label barabara kuu ya Kigoma. Show all posts
Showing posts with label barabara kuu ya Kigoma. Show all posts

Thursday, March 02, 2017

WATU WATATU RAIA WA BURUNDI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKAONI KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
WATU watatu raia wa Nchi ya Burundi waliopewa hifadhi katika Kambi ya wakimbizi ya Mtendeli Mkoa wa Kigoma,wanashikiliwa na Jeshi la Polisi la hapo,kwa tuhuma za upangaji wa magogo katika barabara kuu ya Kigoma ,Kasulu na Kakonko kwa lengo la utekaji wa magari hasa mabasi ya abiria yaendayo mikoani.