Showing posts with label Wizara ya Ujenzi. Show all posts
Showing posts with label Wizara ya Ujenzi. Show all posts

Tuesday, May 10, 2016

DKT KIKWETE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI:

Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipowasili kukagua daraja lla Nyerere,Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Friday, January 29, 2016

WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO PROFESA MAKAME MBARAWA AKAGUA ATHARI ZA BARABARA MORO – DODOMA.

 Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro Eng. Dorothy Ntenga akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa namna maji yanavyopiga kingo za daraja la Dumila wakati Waziri huyo akikagua ujenzi wa kingo mpya zinazojengwa kudhibiti mafuriko hayo.
 Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Dodoma Eng. Leornad Chimagu (kulia),akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu athari za mafuriko katika kingo za barabara ya Gairo-Dodoma eneo la Kibaigwa mkoani Dodoma.