Showing posts with label Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Show all posts
Showing posts with label Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Show all posts

Friday, June 10, 2016

SERIKALI KUKOMESHA MTANDAO UNAOSAFIRISHA BINADAMU

SERIKALI imejipanga kukomesha mtandao wa watu wasiowaaminifu ambao wanajihusisha na biashara ya kusafirisha binadamu kwenda nchi mbalimbali duniani. 

Mtandao huo unahusisha raia wa Tanzania waliopo ndani na nje ya nchi kwa kushirikiana na raia wa kigeni kutoka nchi za India, Malaysia, nchi za Falme za Kiarabu na Mashariki ya Kati.