Showing posts with label Waziri wa Nchi OR – TAMISEMI George Simbachawene na Waziri wa Ujenzi. Show all posts
Showing posts with label Waziri wa Nchi OR – TAMISEMI George Simbachawene na Waziri wa Ujenzi. Show all posts

Wednesday, January 25, 2017

RAIS MAGUFULI: JENGENI KITUO CHA DALADALA NA KUPAKI MAGARI MADOGO KIMARA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Miundombinu na Huduma za mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam, awamu ya kwanza leo jijini Dar es Salaam.
KOPA 2
 Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Miundombinu na Huduma za Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam, awamu ya kwanza leo jijini Dar es Salaam.