Showing posts with label Watendaji wa Mashirika ya DAWASA na DAWASCO. Show all posts
Showing posts with label Watendaji wa Mashirika ya DAWASA na DAWASCO. Show all posts

Thursday, March 16, 2017

DAWASA YACHANGIA KUONGEZEKA KWA MAJI; YAJIPANGA KUJENGA MITAMBO YA MAJITAKA

Mkuuwa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akiongea na baadhi ya Viongozi na Watendaji wa Mashirika ya DAWASA na DAWASCO pamoja na Waandishisho wa habari kuhusu Maadhimi ya Wiki ya Maji Duniani yanayoanza leo tarehe 16 hadi kilele chake 22 Machi, 2017 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.