Showing posts with label Wasanii wa kikundi cha Nyota cha Dodoma. Show all posts
Showing posts with label Wasanii wa kikundi cha Nyota cha Dodoma. Show all posts

Friday, April 08, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA ALAT MKOANI DODOMA:

 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Edwin  Rutageruka wakati alipotembelea abanda la maonyesho  la TANTRADE kabla ya kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala  za Mitaa (ALAT) kwetuo cha Mikutano cha Dodoma  Aprili  8, 2016.
 Wasanii wa kikundi cha Nyota cha Dodoma  wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu Malum wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma  mjini Dodoma Aprili  8,2016.