Showing posts with label Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri. Show all posts
Showing posts with label Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri. Show all posts

Tuesday, July 12, 2016

WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI 185 WALA VIAPO VYA MAADILI LEO IKULU

Sehemu ya Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185 wakipata maelezo ya awali kabla ya kula kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam.