Showing posts with label Wafanyakazi wa DAWASA. Show all posts
Showing posts with label Wafanyakazi wa DAWASA. Show all posts

Saturday, June 25, 2016

WATANZANIA WAASWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KWA HIARI BILA SHURUTI.



Baadhi ya Wafanyakazi wa DAWASA waliokutwa wakifanya usafi wa mazingira kutii agizo la Kufanya Usafi kwa kila Jumamosi ya kila mwisho wa mwezi ili kuyaweka maeneo ya Ofisi za Malamka hiyo katika hali ya usafi.