Showing posts with label Urusi. Show all posts
Showing posts with label Urusi. Show all posts

Tuesday, March 15, 2016

PUTIN AAGIZA JESHI LAKE KUONDOKA SYRIA:

Putin


Image copyrightAP
Image captionRais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza jeshi lake kuondoka Syria

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao.