Showing posts with label TAHLISO. Show all posts
Showing posts with label TAHLISO. Show all posts

Thursday, June 16, 2016

SHIRIKISHO LA WANAFUZI VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA LAPINGA KAULI ZA GWAJIMA JUU YA VIONGOZI WA CCM

Siku chache baada ya Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima kuwashutumu viongozi wa CCM kwamba wanamipango ya kutomkadhi chama Rais Dk. John Magufuli, Shirikiho la Wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), limemshukia na kulaani vikali kauli hiyo kwamba ni yauchochezi.