Showing posts with label Ruth Minja. Show all posts
Showing posts with label Ruth Minja. Show all posts

Friday, April 08, 2016

MFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA MWEZI MACHI KWA ASILIMIA 5.4.

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari(Hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kushuka kwa mfumuko wa bei kwa Machi mwaka huu. Kulia ni Meneja wa Ajira na Bei wa NBS, Ruth Minja.
Kulia ni Meneja wa Ajira na Bei wa NBS, Ruth Minja akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari na Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo jijini Dar es Salaam.