Showing posts with label Rais wa Rwanda Paul Kagame. Show all posts
Showing posts with label Rais wa Rwanda Paul Kagame. Show all posts

Friday, July 01, 2016

RAIS KAGAME AWASILI NCHINI-APOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.