Showing posts with label Rais wa Botswana Luteni Jenerali Dkt. Seretse Khama Ian Khama. Show all posts
Showing posts with label Rais wa Botswana Luteni Jenerali Dkt. Seretse Khama Ian Khama. Show all posts

Tuesday, August 30, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 36 WA SADC MJINI MBABANE SWAZILAND

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini ubao wa kumbukumbu kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli wenye majina ya viongozi waliohudhuria mkutano wa 36 wa SADC uliofanyika Lozitha, Mbabane Swaziland.