Showing posts with label Profesa Mbarawa. Show all posts
Showing posts with label Profesa Mbarawa. Show all posts

Thursday, April 14, 2016

MAKAME MBARAWA ALISEMA MUDA WA UZIMAJI SIMU FEKI HAUTAONGEZWA :


Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiiano Profesa Makame  Mbarawa amesema Serikali haitaongeza muda katika zoezi zima la uzimaji wa simu feki ifikapo Juni 16 mwaka huu.

Ameyasema hayo ofisini kwake leo jijini Dar es salaam wakati wa mahojiano na kituo kimoja cha habari hapa nchini.