Showing posts with label Prof Godius Kahyarara. Show all posts
Showing posts with label Prof Godius Kahyarara. Show all posts

Tuesday, May 03, 2016

WADAU WAJADILI TOZO DARAJA LA NYERERE

Kuu.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga (katikati) akitoa ufafanuzi kwa wadau mbalimbali wa sekta ya usafirishaji katika kikao cha kujadili viwango vya tozo zitakazotumika katika Daraja la Nyerere (Kigamboni). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara na kushoto ni 
Prof Godius Kahyarara.