Showing posts with label Ofisi ya Bunge. Show all posts
Showing posts with label Ofisi ya Bunge. Show all posts

Sunday, April 24, 2016

JUKWAA LA WAHARIRI WATOA TAMKO JUU YA MATANGAZO YA BUNGE:

Bodi ya Jukwa la Wahariri Tanzania (TEF) iliyokaa Ijumaa Aprili 22, 2016 jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilijadili hali ya mwenendo wa tasnia ya habari nchini hasa juu ya haki ya wananchi kupata habari.