Naibu Waziri wa nchi ofis ya makamu wa raisiMuungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipanda mti kuashiria uzinduzi rasimi wa kampeni ya kitaifa ya upandaji miti uliofanyika madale jijini Dar es salaam
Baadhi ya wanainchi Waliohudhuria uzinduzi wa barabara za mitaa na kampeni ya upandaji miti kitaifa uliofanyika katika kata ya madale jijini Dar es salaam na Mgeni rasmi Naibu waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mh.Luhaga Mpina.