Showing posts with label Naibu Waziri wa Biashara wa Serikali ya China Dkt. Qian Keming. Show all posts
Showing posts with label Naibu Waziri wa Biashara wa Serikali ya China Dkt. Qian Keming. Show all posts

Thursday, October 13, 2016

SERIKALI YA TANZANIA IMEPOKEA Tsh BILIONI 97 TOKA CHINA

fed1
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage (wa pili kushoto) na Naibu Waziri wa Biashara wa Serikali ya China Dkt. Qian Keming (wa pili kulia), wakisaini Makubaliano ya Kikao cha Tano cha Kamati ya pamoja ya Ushirikiano wa masuala ya Uchumi, Ufundi na Biashara Baina Serikali ya Tanzania na China, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.