Showing posts with label Naibu Meneja Mikopo Nafuu wa Benki ya Exim ya China Bw. Zhu Ying. Show all posts
Showing posts with label Naibu Meneja Mikopo Nafuu wa Benki ya Exim ya China Bw. Zhu Ying. Show all posts

Friday, July 22, 2016

UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA AWALI YA UJENZI WA RELI YA KATI (STANDARD GAUGE)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servaciaus Likwelile akitiliana saini na Naibu Meneja Mikopo Nafuu wa Benki ya Exim ya China Bw. Zhu Ying kuhusu makubaliano ya awali ya ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge), jijini Dar es Salaam.