Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhandisi Atashasta
Nditiye baada ya kuwasili makao makuu ya Wizara hiyo Mpingo House Jijini
Dar es Salaam jana huku akiongozana na wajumbe wa kamati hiyo.