Showing posts with label Mwembe yanga. Show all posts
Showing posts with label Mwembe yanga. Show all posts

Thursday, May 05, 2016

NSSF YAZIDI KUONGEZA WANACHAMA WAPYA:

Wananchi wa maeneo ya Banana jijini Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya kujiandikisha na kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF ambapo jumla ya wanachama 160 walijiandikisha katika eneo hilo. Katika eneo la Mwembe yanga wanachama wapya 214 walijiandikisha na Mbagala 132 na kufanya jumla ya wanachama wapya 506 walijiandikisha.