Showing posts with label Mwanahabari Makongoro Oging'. Show all posts
Showing posts with label Mwanahabari Makongoro Oging'. Show all posts

Friday, May 27, 2016

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MWANAHABARI MAKONGORO OGING' KUZIKWA MKOANI MARA KESHO KUTWA.


Picha ya Mwanahabari Makongoro Oging' enzi za uwai wake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers alikokuwa akifanyia kazi Makongoro Oging', Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye lenye mwili wa marehemu Oging' wakati wa kuagwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala ya Amana Dar es Salaam.