Showing posts with label Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo. Show all posts
Showing posts with label Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo. Show all posts

Thursday, July 14, 2016

SERIKALI YATANGAZA VITA DHIDI YA WAHARIFU WA NYARAKA BANDIA

UC1Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Habari toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Augustino Tendwa.