Showing posts with label Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Show all posts

Monday, August 08, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MBEYA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 atahitimisha maonyesho ya wakulima Nanenane