Showing posts with label Mkuu wa mkoa wa Iringa. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa mkoa wa Iringa. Show all posts

Thursday, January 19, 2017

MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA NG'OMBE LA ASAS LILILOPO IRINGA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ia SAS, Bw. Salim Abri  wakati alipokwenda kwenye shamba la ng'ombe la ASAS lililoko nje kidogo ya mji wa Iringa Januari 19, 2017. (Picha na Ofisi ua Waziri Mkuu)